Tena jicho lake mzinifu hungojea wakati wa gizagiza, Akisema, Hapana jicho litakaloniona; Naye huuficha uso wake.
Methali 7:7 - Swahili Revised Union Version Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nikawaona vijana wengi wajinga, na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu. Biblia Habari Njema - BHND nikawaona vijana wengi wajinga, na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nikawaona vijana wengi wajinga, na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu. Neno: Bibilia Takatifu Niliona miongoni mwa wajinga, nikagundua miongoni mwa wanaume vijana, kijana asiye na akili. Neno: Maandiko Matakatifu Niliona miongoni mwa wajinga, nikagundua miongoni mwa wanaume vijana, kijana asiye na akili. BIBLIA KISWAHILI Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, |
Tena jicho lake mzinifu hungojea wakati wa gizagiza, Akisema, Hapana jicho litakaloniona; Naye huuficha uso wake.
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo.
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.
Tena si vizuri nafsi ya mtu ikose maarifa; Naye afanyaye haraka kwa miguu hutenda dhambi.
Mpige mwenye mzaha, na mjinga atapata busara; Mwonye mwenye ufahamu, naye atatambua maarifa.
Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa.