Methali 9:16 - Swahili Revised Union Version16 Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Tazama sura |