Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 9:15 - Swahili Revised Union Version

15 Apate kuwaita wapitao njiani, Waendao moja kwa moja katika njia zao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 na kuwaita watu wapitao njiani, watu wanaokwenda kwenye shughuli zao:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 na kuwaita watu wapitao njiani, watu wanaokwenda kwenye shughuli zao:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 na kuwaita watu wapitao njiani, watu wanaokwenda kwenye shughuli zao:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 akiita wale wanaopita karibu, wanaoenda moja kwa moja kwenye njia yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 akiita wale wapitao karibu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Apate kuwaita wapitao njiani, Waendao moja kwa moja katika njia zao.

Tazama sura Nakili

Methali 9:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,

Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo