Methali 9:14 - Swahili Revised Union Version14 Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hukaa kitako mlangoni mwa nyumba yake, huweka kiti chake mahali pa juu mjini, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, kwenye kiti katika mahali pa juu sana pa mji, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka, Tazama sura |