Methali 9:13 - Swahili Revised Union Version13 Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; hana adabu na hana maarifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; hana adabu na hana maarifa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu. Tazama sura |