Methali 9:12 - Swahili Revised Union Version12 Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kama una hekima, itakufaa wewe mwenyewe; kama ukiidharau, mwenyewe utapata hasara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; kama wewe ni mtu wa mzaha, wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; kama wewe ni mtu wa mzaha, wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako. Tazama sura |