Methali 1:22 - Swahili Revised Union Version22 Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Enyi wajinga! Mpaka lini mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini wenye dharau watafurahia dharau zao, na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Enyi wajinga! Mpaka lini mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini wenye dharau watafurahia dharau zao, na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Enyi wajinga! Mpaka lini mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini wenye dharau watafurahia dharau zao, na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 “Enyi wajinga, mtashikilia ujinga wenu hadi lini? Hadi lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 “Enyi wajinga, mtang’ang’ania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa? Tazama sura |