Methali 9:4 - Swahili Revised Union Version4 Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Tazama sura |