Mathayo 15:16 - Swahili Revised Union Version16 Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Isa akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Isa akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Tazama sura |