Methali 8:5 - Swahili Revised Union Version5 Enyi wajinga, fahamuni werevu, Nanyi wapumbavu, mpate moyo wa kufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Enyi wajinga, fahamuni werevu, Nanyi wapumbavu, mpate moyo wa kufahamu. Tazama sura |