Methali 8:6 - Swahili Revised Union Version6 Sikilizeni, maana nitasema yaliyo mazuri, Na kufumbua midomo yangu kutakuwa maadili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Sikilizeni maana nitakachosema ni jambo muhimu; midomoni mwangu mtatoka mambo ya adili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Sikilizeni, maana nitasema yaliyo mazuri, Na kufumbua midomo yangu kutakuwa maadili. Tazama sura |