Methali 8:7 - Swahili Revised Union Version7 Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kinywa changu kitatamka kweli tupu; uovu ni chukizo midomoni mwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu. Tazama sura |