Methali 8:8 - Swahili Revised Union Version8 Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kinywa changu kitatamka maneno ya kweli, udanganyifu ni haramu midomoni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kinywa changu kitatamka maneno ya kweli, udanganyifu ni haramu midomoni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kinywa changu kitatamka maneno ya kweli, udanganyifu ni haramu midomoni mwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Maneno yote ya kinywa changu ni ya haki; hakuna mojawapo lililopotoka au la ukaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Maneno yote ya kinywa changu ni haki; hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi. Tazama sura |