Methali 8:9 - Swahili Revised Union Version9 Yote humwelea yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa mtu mwelewa kila kitu ni wazi, kwa mwenye maarifa yote ni sawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa wenye kupambanua, yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Yote humwelea yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa. Tazama sura |