Methali 6:32 - Swahili Revised Union Version32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Tazama sura |