Methali 27:12 - Swahili Revised Union Version12 Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Tazama sura |