Methali 27:13 - Swahili Revised Union Version13 Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoza rehani aliye mdhamini wa malaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie liwe dhamana kwa ajili ya mgeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoza rehani aliye mdhamini wa malaya. Tazama sura |