Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 27:14 - Swahili Revised Union Version

14 Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kuwa ni laana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kama ni laana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.

Tazama sura Nakili




Methali 27:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na yule mjumbe, aliyekwenda kumwita Mikaya, akamwambia, akasema, Angalia sasa, maneno ya manabii kwa kinywa kimoja husema mema kwa mfalme; neno lako na liwe, nakusihi, kama neno la mmojawapo wao, ukaseme mema.


Ndipo mfalme wa Israeli akawakusanya pamoja manabii, kama watu mia nne. Akawaambia Je! Niende juu ya Ramoth-Gileadi kuupiga vita, au ninyamaze? Wakasema Kwea; kwa kuwa BWANA atautia mkononi mwa mfalme.


Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;


Matone daima kudondoka siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo