Methali 27:15 - Swahili Revised Union Version15 Matone daima kudondoka siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma siku ya mvua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma ya siku ya mvua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Matone daima kudondoka siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa; Tazama sura |