Methali 27:16 - Swahili Revised Union Version16 Atakaye kumzuia huyo huuzuia upepo; Na mkono wake wa kulia hukuta mafuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kumzuia ni kama kuuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Atakaye kumzuia huyo huuzuia upepo; Na mkono wake wa kulia hukuta mafuta. Tazama sura |