Methali 1:32 - Swahili Revised Union Version32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, na kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Tazama sura |