Methali 15:4 - Swahili Revised Union Version Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Biblia Habari Njema - BHND Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Neno: Bibilia Takatifu Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, bali ulimi udanganyao huponda roho. Neno: Maandiko Matakatifu Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, bali ulimi udanganyao huponda roho. BIBLIA KISWAHILI Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo. |
Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,
Roho ya mtu itastahimili udhaifu wake; Bali roho iliyovunjika nani awezaye kuistahimili?
Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawachomozea, likiwa na uwezo wa kuponya katika miale yake; nanyi mtatoka nje, na kuchezacheza kama ndama watokapo mazizini.
Mtu awaye yote akitoa mafundisho mengine, wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, wala mafundisho yapatanayo na utauwa,
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.