Methali 15:5 - Swahili Revised Union Version5 Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye; Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mpumbavu hudharau mafundisho ya baba yake, lakini anayekubali maonyo ana busara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mpumbavu hudharau mafundisho ya baba yake, lakini anayekubali maonyo ana busara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mpumbavu hudharau mafundisho ya baba yake, lakini anayekubali maonyo ana busara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake, bali yeyote akubaliye maonyo huonesha busara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake, bali yeyote akubaliye maonyo huonyesha busara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye; Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara. Tazama sura |