Methali 15:6 - Swahili Revised Union Version6 Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu. Tazama sura |