Methali 15:4 - Swahili Revised Union Version4 Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, bali ulimi udanganyao huponda roho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, bali ulimi udanganyao huponda roho. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo. Tazama sura |