Methali 15:3 - Swahili Revised Union Version3 Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu, humchunguza mtu mwema na mtu mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu, humchunguza mtu mwema na mtu mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu, humchunguza mtu mwema na mtu mbaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Macho ya Mwenyezi Mungu yako kila mahali, yakiwaangalia waovu na wema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Macho ya bwana yako kila mahali, yakiwaangalia waovu na wema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema. Tazama sura |