Methali 15:2 - Swahili Revised Union Version2 Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu. Tazama sura |