Methali 18:14 - Swahili Revised Union Version14 Roho ya mtu itastahimili udhaifu wake; Bali roho iliyovunjika nani awezaye kuistahimili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Roho ya mtu huweza kustahimili ugonjwa, lakini ukiwa umevunjika moyo, utastahimilije? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Roho ya mtu huweza kustahimili ugonjwa, lakini ukiwa umevunjika moyo, utastahimilije? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Roho ya mtu huweza kustahimili ugonjwa, lakini ukiwa umevunjika moyo, utastahimilije? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Roho ya mtu itastahimili udhaifu wake; Bali roho iliyovunjika nani awezaye kuistahimili? Tazama sura |