Methali 18:15 - Swahili Revised Union Version15 Moyo wa mwenye busara hupata maarifa; Na sikio la mwenye hekima hutafuta maarifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mtu mwenye akili hujipatia maarifa, sikio la mwenye busara hutafuta maarifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mtu mwenye akili hujipatia maarifa, sikio la mwenye busara hutafuta maarifa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mtu mwenye akili hujipatia maarifa, sikio la mwenye busara hutafuta maarifa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Moyo wa mwenye busara hupata maarifa; Na sikio la mwenye hekima hutafuta maarifa. Tazama sura |