Methali 26:22 - Swahili Revised Union Version22 Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. Tazama sura |