Methali 12:18 - Swahili Revised Union Version18 Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; Bali ulimi wa mwenye haki ni afya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; Bali ulimi wa mwenye haki ni afya. Tazama sura |