Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
Methali 6:11 - Swahili Revised Union Version Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi. Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyang'anyi, ufukara utakufuata kama jambazi. Neno: Bibilia Takatifu umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha. Neno: Maandiko Matakatifu hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha. BIBLIA KISWAHILI Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha. |
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.