Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 6:10 - Swahili Revised Union Version

10 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! Niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! Niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kulala kidogo, kusinzia kidogo, kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!

Tazama sura Nakili




Methali 6:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.


Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.


Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.


Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima.


Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?


Mpumbavu huikunja mikono yake, Naye hula chakula chake mwenyewe;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo