Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 6:11 - Swahili Revised Union Version

11 Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyang'anyi, ufukara utakufuata kama jambazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili




Methali 6:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.


Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu; Bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.


Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.


Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.


Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; Hivyo wakati wa mavuno ataomba, hana kitu.


Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.


Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!


Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.


Mpumbavu huikunja mikono yake, Naye hula chakula chake mwenyewe;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo