Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 24:34 - Swahili Revised Union Version

34 Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyang'anyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 na umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

34 Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Tazama sura Nakili




Methali 24:34
8 Marejeleo ya Msalaba  

Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.


Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu; Bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.


Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharibifu.


Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!


Hizi nazo ni mithali za Sulemani, ambazo watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda, walizinakili.


Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha.


Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!


Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo