Methali 20:13 - Swahili Revised Union Version13 Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Usipende kulala tu usije ukawa maskini; uwe macho nawe utakuwa na chakula kingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Usipende kulala tu usije ukawa maskini; uwe macho nawe utakuwa na chakula kingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Usipende kulala tu usije ukawa maskini; uwe macho nawe utakuwa na chakula kingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula. Tazama sura |