Methali 20:14 - Swahili Revised Union Version14 Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu. Tazama sura |