Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 20:12 - Swahili Revised Union Version

12 Sikio lisikialo, na jicho lionalo, BWANA ndiye aliyeyafanya yote mawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Sikio lisikialo na jicho lionalo, yote mawili kayafanya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Sikio lisikialo na jicho lionalo, yote mawili kayafanya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Sikio lisikialo na jicho lionalo, yote mawili kayafanya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Masikio yasikiayo na macho yaonayo: Mwenyezi Mungu ndiye alivifanya vyote viwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Masikio yasikiayo na macho yaonayo, bwana ndiye alivifanya vyote viwili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Sikio lisikialo, na jicho lionalo, BWANA ndiye aliyeyafanya yote mawili.

Tazama sura Nakili




Methali 20:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako.


Aliyelitia sikio mahali pake, asisikie? Aliyelifanya jicho, asione?


BWANA akamwambia, Ni nani aliyekifanya kinywa cha mwanadamu? Au ni nani afanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi, au mwenye kuona, au kuwa kipofu? Si mimi, BWANA?


Kipuli cha dhahabu, na pambo la dhahabu safi; Ndivyo alivyo mwonyaji mwenye hekima kwa sikio lisikialo.


Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho kitabu, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.


uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.


Kama mwili wote ukiwa jicho, kuko wapi kusikia? Kama wote ni sikio kuko wapi kunusa?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo