Methali 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Uvivu husababisha umaskini, lakini mkono wa mtu wa bidii hutajirisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Uvivu husababisha umaskini, lakini mkono wa mtu wa bidii hutajirisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Uvivu husababisha umaskini, lakini mkono wa mtu wa bidii hutajirisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha. Tazama sura |