Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 10:3 - Swahili Revised Union Version

3 BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mwenyezi Mungu hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.

Tazama sura Nakili




Methali 10:3
23 Marejeleo ya Msalaba  

Hutangatanga ili apate chakula, akisema, Ki wapi? Ajua kwamba siku ya giza i tayari karibu naye;


Mali ya nyumba yake yatanyakuliwa, Yatamwagika mbali katika siku ya ghadhabu zake.


Wakati wa njaa atakukomboa na mauti; Na vitani atakukomboa na nguvu za upanga.


Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.


Asiye haki ataona na kusikitika, Atasaga meno yake na kuondoka, Matumaini ya wasio haki hupotea.


Ili kuwaponya nafsi zao kutoka kwa mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.


Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.


Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzawa wake akiomba chakula.


Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.


Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake; Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.


Mtu mbaya husukumwa chini katika kutenda mabaya kwake; Bali mwenye haki ana matumaini katika kufa kwake.


Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA ataneemeshwa.


Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo.


Huyu ndiye atakayekaa juu; majabali ni ngome yake; atapewa chakula chake; maji yake hayatakoma.


Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, mwisho wa kutisha.


Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo