Methali 21:25 - Swahili Revised Union Version Matakwa yake mtu mvivu humwua, Kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mvivu hufa kwa kutotimizwa tamaa zake, maana mikono yake milegevu haitaki kufanya kazi. Biblia Habari Njema - BHND Mvivu hufa kwa kutotimizwa tamaa zake, maana mikono yake milegevu haitaki kufanya kazi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mvivu hufa kwa kutotimizwa tamaa zake, maana mikono yake milegevu haitaki kufanya kazi. Neno: Bibilia Takatifu Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. Neno: Maandiko Matakatifu Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. BIBLIA KISWAHILI Matakwa yake mtu mvivu humwua, Kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi. |
Njia ya mtu mvivu ni kama boma la miiba; Bali mapito yao wenye unyofu hufanyika njia kuu.
Bwana wake akajibu, akamwambia, Wewe mtumwa mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya;
Wakarejea kwa Yoshua wakamwambia, Wasiende watu wote, ila waende watu kama elfu mbili, tatu, wakaupige Ai; usiwataabishe watu wote kwenda huko maana watu hao ni wachache tu.