Methali 26:16 - Swahili Revised Union Version16 Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu. Tazama sura |