Methali 26:15 - Swahili Revised Union Version15 Mtu mvivu hutia mkono wake katika sahani; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Mtu mvivu hutia mkono wake katika sahani; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake. Tazama sura |