Methali 12:24 - Swahili Revised Union Version24 Mkono wa mwenye bidii utatawala; Bali mvivu atalipishwa kodi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kuwa na bidii kutampa mtu cheo, lakini uvivu utamfanya mtumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kuwa na bidii kutampa mtu cheo, lakini uvivu utamfanya mtumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kuwa na bidii kutampa mtu cheo, lakini uvivu utamfanya mtumwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Mikono yenye bidii itatawala, bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Mikono yenye bidii itatawala, bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Mkono wa mwenye bidii utatawala; Bali mvivu atalipishwa kodi. Tazama sura |