Methali 21:26 - Swahili Revised Union Version26 Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mchana kutwa mwovu hutamani kupata kitu, lakini mwadilifu hutoa, tena kwa ukarimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mchana kutwa mwovu hutamani kupata kitu, lakini mwadilifu hutoa, tena kwa ukarimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mchana kutwa mwovu hutamani kupata kitu, lakini mwadilifu hutoa, tena kwa ukarimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Mchana kutwa hutamani zaidi, lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Mchana kutwa hutamani zaidi, lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi. Tazama sura |