Methali 21:27 - Swahili Revised Union Version27 Sadaka ya wasio haki ni chukizo; Si zaidi sana ailetapo mwenye nia mbaya! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Tambiko ya mwovu ni kitu cha kuchukiza, huchukiza zaidi akiitoa kwa nia mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Tambiko ya mwovu ni kitu cha kuchukiza, huchukiza zaidi akiitoa kwa nia mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Tambiko ya mwovu ni kitu cha kuchukiza, huchukiza zaidi akiitoa kwa nia mbaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo; si ni chukizo zaidi ikitolewa kwa nia mbaya! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Sadaka ya wasio haki ni chukizo; Si zaidi sana ailetapo mwenye nia mbaya! Tazama sura |
Yeye achinjaye ng'ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua njia zao wenyewe, na nafsi zao zafurahia machukizo yao.