Methali 22:13 - Swahili Revised Union Version13 Mtu mvivu husema, Simba yuko nje; Nitauawa katika njia kuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mvivu husema, “Siwezi kutoka nje; kuna simba huko, ataniua!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mvivu husema, “Siwezi kutoka nje; kuna simba huko, ataniua!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mvivu husema, “Siwezi kutoka nje; kuna simba huko, ataniua!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Mtu mvivu husema, Simba yuko nje; Nitauawa katika njia kuu. Tazama sura |