Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 22:14 - Swahili Revised Union Version

14 Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Mwenyezi Mungu atatumbukia ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya bwana atatumbukia ndani yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.

Tazama sura Nakili




Methali 22:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Sulemani, mwana wa Daudi, hakufanya dhambi kwa kutenda hayo? Lakini katika mataifa mengi hapakuwa na mfalme mwingine mfano wake. Tena alipendwa na Mungu wake, naye Mungu akamfanya mfalme juu ya Israeli; lakini wanawake wageni walimkosesha hata yeye.


Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao, Waenende katika mashauri yao.


Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni mtego wa shimo jembamba.


Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.


BWANA akaona, akawachukia, Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo