Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 22:12 - Swahili Revised Union Version

12 Macho ya BWANA humhifadhi mwenye maarifa; Bali huyapindua maneno ya mtu haini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Macho ya Mwenyezi Mungu hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Macho ya bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Macho ya BWANA humhifadhi mwenye maarifa; Bali huyapindua maneno ya mtu haini.

Tazama sura Nakili




Methali 22:12
17 Marejeleo ya Msalaba  

Yule mtu wa Mungu akapeleka habari kwa mfalme wa Israeli, kusema, Jihadhari, usipite mahali fulani; kwa sababu ndiko wanakoshukia Washami.


Kwa maana macho ya BWANA hukimbia kimbia duniani kote, ili ajionesha kuwa mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake. Kwa hayo umetenda upumbavu; kwani tangu sasa utakuwa na vita.


Bali sisi tulimwomba dua Mungu wetu, tena tukaweka walinzi, mchana na usiku, kwa sababu yao, ili kuwapinga.


Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.


Apendaye usafi wa moyo, na neema ya midomo; Mfalme atakuwa rafiki yake.


Mtu mvivu husema, Simba yuko nje; Nitauawa katika njia kuu.


lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.


Hapo ndipo atakapofunuliwa yule mwasi, ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza kwa dhihirisho la kuja kwake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo