Methali 22:11 - Swahili Revised Union Version11 Apendaye usafi wa moyo, na neema ya midomo; Mfalme atakuwa rafiki yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwenye nia safi na maneno mazuri, atakuwa rafiki wa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwenye nia safi na maneno mazuri, atakuwa rafiki wa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwenye nia safi na maneno mazuri, atakuwa rafiki wa mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Apendaye usafi wa moyo, na neema ya midomo; Mfalme atakuwa rafiki yake. Tazama sura |